Karibuni

  

Tunawakaribisha ku site web ya umoja ya makanisa inayousika na kugeuza Bibilia na kusomesha kwa lugha zetu ya kuzaliwa

Hapa mutapokea habari mbalimbali ya maendeleo ya kazi ya kuendelesha lugha, ya kugeuza na kosoma Bibilia ngambo ya Isiro.

   

Shabaa kubwa yetu ni kupenda kuendelesha na kuletea watu Neno la Mungu kwa lugha zao; kwa kuwa kugeuza Neno la Mungu kwa lugha ni kuingia ndani ya mpango ya Mungu ambaye anapenda watu wamusikie kwa lugha ni hali ya usiano na masikilizano na Mungu.

   

Annonce !

A partir du mois d'Avril 2026, ces sites web seront déplacés sur www.citba-rdc.com, il s'agit de : 

  • budu-koya.com
  • budu-nita.com
  • komocongo.com
  • mangbetu.com
  • lilikomedia.com
  • langue-logo.com
  • mayogonekpala.com
  • pazande.com

Merci de votre fidélité

 

Share

Your encouragement is valuable to us

Your stories help make websites like this possible.